Msaada:Vyuo vinavyohitaji Pass 3.

Msaada:Vyuo vinavyohitaji Pass 3.

Thomas andrew

Senior Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
150
Reaction score
44
Samahanini!!! Nina dada yangu ana D ya kiswahili D ya Geography na B ya English. Anahitaji chuo kinachohitaji pass 3 na kitoacho course za human resources au procurement n supply
 
tia ...!kacheki pale
 
ingia kulia alafu kunja kushoto nyooka moja kwa moja opposite kabisa na ofisi yangu mkabala na kituo cha treni pale
 
Samahanini!!! Nina dada yangu ana D ya kiswahili D ya Geography na B ya English. Anahitaji chuo kinachohitaji pass 3 na kitoacho course za human resources au procurement n supply
Kwa CERTIFICATE apply,
DATASTAR College,ZOOM College,KILIMANJARO College! kwa D tatu vyuo kama TEKU,CBE,SAUT unaingia DIPLOMA kwa kishindo!
 
Samahanini!!! Nina dada yangu ana D ya kiswahili D ya Geography na B ya English. Anahitaji chuo kinachohitaji pass 3 na kitoacho course za human resources au procurement n supply

Usiwe na haraka Kamishna wa elimu hajatoa bado sifa elekezi za kujiunga na elimu ya juu kwa waliomaliza form four kutokana na mabadiliko ya grading system vuta subira huenda hizo sifa zikampeleka form five....
 
Ohh nashkuru kaka
 
Back
Top Bottom