Thomas andrew
Senior Member
- Feb 4, 2013
- 150
- 44
Samahanini!!! Nina dada yangu ana D ya kiswahili D ya Geography na B ya English. Anahitaji chuo kinachohitaji pass 3 na kitoacho course za human resources au procurement n supply
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahanini!!! Nina dada yangu ana D ya kiswahili D ya Geography na B ya English. Anahitaji chuo kinachohitaji pass 3 na kitoacho course za human resources au procurement n supply
Kipo wap hiko
Cbe wanachukua fasta tu nadhani
tena hawaulizi mara mbili
cbe mwanza wanachukuacmpaka std 7!
Kwa CERTIFICATE apply,Samahanini!!! Nina dada yangu ana D ya kiswahili D ya Geography na B ya English. Anahitaji chuo kinachohitaji pass 3 na kitoacho course za human resources au procurement n supply
Kwa CERTIFICATE apply,
DATASTAR College,ZOOM College,KILIMANJARO College! kwa D tatu vyuo kama TEKU,CBE,SAUT unaingia DIPLOMA kwa kishindo!
Samahanini!!! Nina dada yangu ana D ya kiswahili D ya Geography na B ya English. Anahitaji chuo kinachohitaji pass 3 na kitoacho course za human resources au procurement n supply
morogoro st joseph, kipo maeneo ya kihona mkuu.
Usiwe na haraka Kamishna wa elimu hajatoa bado sifa elekezi za kujiunga na elimu ya juu kwa waliomaliza form four kutokana na mabadiliko ya grading system vuta subira huenda hizo sifa zikampeleka form five....
Ohh nashkuru kaka
kipo vizuri kimesajiliwa na NACTEK hiko nimekickia ila cjajua ubora wake