Msaada, vyuo vinavyotoa kozi hizi

Msaada, vyuo vinavyotoa kozi hizi

kajigi

Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
49
Reaction score
12
Naomba kujua vyuo ambavyo vnatoa clinical officer, pharmacy, na forestry...kwa anaejua Kama ni cha serikali niwekee kwenye mabano neno gvt na Kama sio niandikie neno pvt.
 
Kilosa,kibaha,mtwara,lindi,primary health institute,mafinga,mvumi,mbeya dental therapy, babaaa ndohivyoo vya serikalii kwaa privatee mistakii kuviskiaa kwasababuu najijua uwezo wanguu wa kiuchumii
 
Back
Top Bottom