Msaada wa a Shareable Office Space in Posta Area!

kijanamakini

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
118
Reaction score
15
Mimi ni kijana mwenye shida ya ofisi space ila kama mjasiriamali mdogo sina capital ya kuweza kugharamia ofisi kwa sasa. Naomba msaada wa mtu mwenye ofisi eneo la posta ambayo inaweza ikawa na space ya mimi kuweza kushare kwa kuweza kuweka my desk office pia. Ata kama ni kwa makubaliano ya hapo biashara yangu itakapoanza kuleta gains then naweza nikachangia rent kulingana na makubaliano. Nimesharegistrer my business name na brela, naitaji ofisi tuu ili kumalizia stage zingine zote.

Business yangu ni service oriented, katika masuala ya social media management and online solutions. Ingawa huko mbeleni nategemea kukuza zaidi aina nyingine za services kulingana na opportunities.

Napatikana STEVpm ktk Twitter, na kwa simu unaweza wasiliana nami kwa namba hii 0782790034!
 
Last edited by a moderator:
Kaka unahama Moshi? ?
Nina uhakika utapata tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…