askarikambi
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 246
- 264
Ngozi ndiyo the largest organ kwenye mwili.Umenichanganya mkuu, madaktari wa ngozi ndio mabingwa wa magonjwa ya zinaa?
Ngozi ndiyo the largest organ kwenye mwili.
Madaktari bingwa wa magonjwa ya ngozi wanahusika na magonjwa ya zinaa.
Ngozi yako inapopata shida, basi tambua kuna sehemu kwenye mwili wako hapako sawa.
NOTE: Kwa mwanamke ni vizuri zaidi akamuona gynaecologist unless labda kama amepewa referral.
Sina fani hiyo kaka.Infectious diseases na Dermatology ni specialities tofauti kabisa kwenye utabibu mkuu (kama una idea na fani ya utabibu
Okey,kwanini Dermatologist na sio urologist au just general physician ambae pia anayajua magonjwa yote?Sina fani hiyo kaka.
Ila naelewa nchi nyingi dermatologist inakuwa combined na magonjwa ya zinaa katika miaka ya kumaliza masomo.
Sasa labda inategemea na chuo ulichosoma.
Unapojibu rejea tatizo la mleta mada. Ungekuwa wewe ungemshauri aende kwa specialist yupi? Ukizingatia kesi yake?
Naomba nipingane na wewe kuhusu Dermatologist kutokuhusika na infectious diseases.
Kama nilivyosema hapo awali tatizo la ngozi ni kiini cha tatizo lingine, sasa huyu Dr. Unataka kusema kwa sababu anatibu ngozi hataweza kujua kama mgonjwa ana infectious disease?
Ze Heby,Okey,kwanini Dermatologist na sio urologist au just general physician ambae pia anayajua magonjwa yote?