Msaada wa afya: Uume wangu unachunika ngozi kama imeungua

Ukiumwa nenda hospital, sio kumdhani kila mtu ni daktari!
Ila ni bora useme ukweli, yule mke wa mshikaji mtaa wa pili hujakula kweli! Jamaa kamtega, sema!
 
  • Thanks
Reactions: lup
Umenichanganya mkuu, madaktari wa ngozi ndio mabingwa wa magonjwa ya zinaa?
Ngozi ndiyo the largest organ kwenye mwili.

Madaktari bingwa wa magonjwa ya ngozi wanahusika na magonjwa ya zinaa.

Ngozi yako inapopata shida, basi tambua kuna sehemu kwenye mwili wako hapako sawa.

NOTE: Kwa mwanamke ni vizuri zaidi akamuona gynaecologist unless labda kama amepewa referral.
 
Infectious diseases na Dermatology ni specialities tofauti kabisa kwenye utabibu mkuu (kama una idea na fani ya utabibu
 
Sina fani hiyo kaka.

Ila naelewa nchi nyingi dermatologist inakuwa combined na magonjwa ya zinaa katika miaka ya kumaliza masomo.

Sasa labda inategemea na chuo ulichosoma.

Unapojibu rejea tatizo la mleta mada. Ungekuwa wewe ungemshauri aende kwa specialist yupi? Ukizingatia kesi yake?

Naomba nipingane na wewe kuhusu Dermatologist kutokuhusika na infectious diseases.

Kama nilivyosema hapo awali tatizo la ngozi ni kiini cha tatizo lingine, sasa huyu Dr. Unataka kusema kwa sababu anatibu ngozi hataweza kujua kama mgonjwa ana infectious disease?
 
Okey,kwanini Dermatologist na sio urologist au just general physician ambae pia anayajua magonjwa yote?
 
Ze Heby,

Treatment ya maswala ya ngono unaweza ukaipata kwa Dr. Yeyote yule hapa duniani. Na hata kule vijijini, hakuna wataalam. Wanaotibu ni Medical Attendant na EN ama RN.

Kwa maana hiyo inategemea na severenity ya tatizo lako na uwepo wa huyu mtaalam.

Gyna kwa akina mama anatibu magonjwa ya ngono, Urologist anatibu pia lakini hata internist.

Lakini tangu wenzetu wanasomea uDr. Magonjwa ya ngono walikuwa wanatibu dermatologists na hasa pale mgonjwa anapokuwa na tatizo kubwa au referral.

Tafuta sana sehemu wanayotibiwa vijana magonjwa ya ngono, hutamkosa dr. Bingwa wa ngozi. Mara nyingi magonjwa ya zinaa huibuka kwenye ngozi.

Rejea kwenye mada: unamshauri aende kwa Dr. Yupi?
 
  • Thanks
Reactions: lup
Ukiumwa nenda hospital, sio kumdhani kila mtu ni daktari!
Ila ni bora useme ukweli, yule mke wa mshikaji mtaa wa pili hujakula kweli! Jamaa kamtega, sema!
Niliwaza hivyo
 
Back
Top Bottom