Msaada wa aina tano za shahada ambazo hata nikikosa serikalini naweza kujiendesha

Katomlb

Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
52
Reaction score
64
Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama kichwa cha somo hapo juu kinavyoeleza naomba mnisaidie angalau aina tano tofauti za shahada ambazo nikizisoma hata nisipopata serikalini kazi bado nitakuwa na uhakika wa kupata mlo wa kila siku nimesoma HGL ahsante
 
Wakati tunaendelea kupata michango ya watu wengine. Ninapendekeza ifahamike kuwa elimu I.e tunapata elimu kuongeza maarifa na kupanua bongo zetu. Na kimsingi elimu inamsaidia /kumuandaa Mtu Kupambana na Mazingira yake. Kuajiriwa sio lengo la elimu.
 
Soma 1. Pure Entrepreneurship(ujasriamali) degree level ,
2. Investment and Finance 3. Inategemea na mazingira uliokulia, unayoishi na Preference zako
 
Wakati tunaendelea kupata michango ya watu wengine. Ninapendekeza ifahamike kuwa elimu I.e tunapata elimu kuongeza maarifa na kupanua bongo zetu. Na kimsingi elimu inamsaidia /kumuandaa Mtu Kupambana na Mazingira yake. Kuajiriwa sio lengo la elimu.
ahsante ndugu
 
Achana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube.
Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sahihi ila akiwa angalau na diploma ya ICT au Computer Science itakuwa nzuri sana kwakuwa itampa ujuzi zaidi.

Huko kuna fursa sana katika karne ya sasa ya tekelinalokujia.
 
Wakati tunaendelea kupata michango ya watu wengine. Ninapendekeza ifahamike kuwa elimu I.e tunapata elimu kuongeza maarifa na kupanua bongo zetu. Na kimsingi elimu inamsaidia /kumuandaa Mtu Kupambana na Mazingira yake. Kuajiriwa sio lengo la elimu.

Kwa hiyo kigezo cha ajira sio elimu?
 
Achana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube.
Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Huo mwaka mmoja utakuwa unampelekea Chakula

Na hiyo PC unanunua ukiamua tu si wote tungekuwa nazo
 
Mzee kuwa na uhakika wa kula siku si aina ya degree yako bali mtaji ulionao tu...Changamsha kichwa kupata mtaji basi mtu aliye SMART akifanikiwa kupata 1M anawezaaailale njaa mpaka anazeeka.
 
Kwa mkuu akienda kusoma hiyo shahada nani hua anampelekea chakula???
1)Unaweza soma uku unapiga mishe
2)Kuna Boom ukipata mkopo Heslb
3)Kusoma Security ya wazazi kukuzingatia

Wewe umemtaka ajifungie ndani mwaka atakula godoro.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Ila nafikiri hukumuelewa ipasavyo Elly255
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nimemuelewa vizuri sana na mimi ni mfuasi wa falsafa ya kujifungia ndani ikimaanisha kuchimba Skills fulani uwe Dewp ila naamini katika vitu vikuu vitatu
1)CashFlow/kipato japo kidogo
2)Time/Muda
3)PieceMind/Utulivu wa akili

Hakikisha una vitu hivyo vitatu Skills yoyote Duniani ukiamua kuwa Deep utakuwa Top 3...sasa mtu kama mtoa mada nahakika hana CASHFLOW hii inafanya asiwe na PIECEMIND ila MUDA anao.
 
Hakika mkuu....
 
nazidi kusoma michango yenu wanajamvi najua nitatoka na kitu
 
Achana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube.
Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuliko kushauri pasipo mfano ni sawa na motivational speakers.

Eleza wewe umesoma ujuzi gani kupitia PC na sasa unapiga pesa kiasi gani ili tujue pa kuanzia mkuu.
 
Back
Top Bottom