Huu ndio ushauri anapaswa kuufanyia kazi , binafsi mi nimejikita kwenye kujifunza graphic design baada ya mwaka ntakuwa pazuriAchana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube.
Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app