ahsante nduguWakati tunaendelea kupata michango ya watu wengine. Ninapendekeza ifahamike kuwa elimu I.e tunapata elimu kuongeza maarifa na kupanua bongo zetu. Na kimsingi elimu inamsaidia /kumuandaa Mtu Kupambana na Mazingira yake. Kuajiriwa sio lengo la elimu.
naomba maujuzi hayo ndugu yanaweza nisaidia niyaangalie kwanzaAchana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube.
Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sahihi ila akiwa angalau na diploma ya ICT au Computer Science itakuwa nzuri sana kwakuwa itampa ujuzi zaidi.Achana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube.
Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wakati tunaendelea kupata michango ya watu wengine. Ninapendekeza ifahamike kuwa elimu I.e tunapata elimu kuongeza maarifa na kupanua bongo zetu. Na kimsingi elimu inamsaidia /kumuandaa Mtu Kupambana na Mazingira yake. Kuajiriwa sio lengo la elimu.
Huo mwaka mmoja utakuwa unampelekea ChakulaAchana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube.
Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwani mkuu akienda kusoma hiyo shahada nani hua anampelekea chakula???Huo mwaka mmoja utakuwa unampelekea Chakula
Na hiyo PC unanunua ukiamua tu si wote tungekuwa nazo
1)Unaweza soma uku unapiga misheKwa mkuu akienda kusoma hiyo shahada nani hua anampelekea chakula???
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Ila nafikiri hukumuelewa ipasavyo Elly2551)Unaweza soma uku unapiga mishe
2)Kuna Boom ukipata mkopo Heslb
3)Kusoma Security ya wazazi kukuzingatia
Wewe umemtaka ajifungie ndani mwaka atakula godoro.
Nimemuelewa vizuri sana na mimi ni mfuasi wa falsafa ya kujifungia ndani ikimaanisha kuchimba Skills fulani uwe Dewp ila naamini katika vitu vikuu vitatu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Ila nafikiri hukumuelewa ipasavyo Elly255
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Nimemuelewa vizuri sana na mimi ni mfuasi wa falsafa ya kujifungia ndani ikimaanisha kuchimba Skills fulani uwe Dewp ila naamini katika vitu vikuu vitatu
1)CashFlow/kipato japo kidogo
2)Time/Muda
3)PieceMind/Utulivu wa akili
Hakikisha una vitu hivyo vitatu Skills yoyote Duniani ukiamua kuwa Deep utakuwa Top 3...sasa mtu kama mtoa mada nahakika hana CASHFLOW hii inafanya asiwe na PIECEMIND ila MUDA anao.
Hakika mkuu....Nimemuelewa vizuri sana na mimi ni mfuasi wa falsafa ya kujifungia ndani ikimaanisha kuchimba Skills fulani uwe Dewp ila naamini katika vitu vikuu vitatu
1)CashFlow/kipato japo kidogo
2)Time/Muda
3)PieceMind/Utulivu wa akili
Hakikisha una vitu hivyo vitatu Skills yoyote Duniani ukiamua kuwa Deep utakuwa Top 3...sasa mtu kama mtoa mada nahakika hana CASHFLOW hii inafanya asiwe na PIECEMIND ila MUDA anao.
Nitajaribu kusoma tena nione kama nitaelewa hoja unayokusudia.Kwa hiyo kigezo cha ajira sio elimu?
Kuliko kushauri pasipo mfano ni sawa na motivational speakers.Achana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube.
Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app