M mbwewe JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 3,267 Reaction score 3,404 Jun 9, 2021 #21 Elly255 said: Achana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube. Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app Click to expand... Huu ndio ushauri anapaswa kuufanyia kazi , binafsi mi nimejikita kwenye kujifunza graphic design baada ya mwaka ntakuwa pazuri
Elly255 said: Achana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube. Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app Click to expand... Huu ndio ushauri anapaswa kuufanyia kazi , binafsi mi nimejikita kwenye kujifunza graphic design baada ya mwaka ntakuwa pazuri