Msaada wa aina ya gari ya kununua

Msaada wa aina ya gari ya kununua

Nsele

Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
80
Reaction score
8
Jamani Nitambua Humu Kuna Wataalamu Wa Magari Na Beia Zake,nina Milioni Kumi Nahitaji Gari Ya Kutembelea,je Ni Aina Gani Ya Gari Naweza Pata Kwa Hela Niliyonayo,pia Mafuta Inatumiaje,iwe Nzuri Mwonekano,msaada Plz
 
Nakushauri chukua carina ti kwa sababu kadhaa zifuatazo hapa chini:-
1/ulaji wa mafuta,gari hii inakunywa mafuta vizuri sana(12km per 1ltr)
2/Spare parts,spare zake ni nafuu sana na zinapatikana kwa wingi sana.
3/Engine capacity ina range CC 1400-1500
4/Inamudu barabara zote bila usumbufu wa aina yeyote.
5/Ni rahisi kuuzika once unapotaka kubadilisha gari.
 
Tafta million moja uongezee utapata mark X zilio katika condition nzri sana2
 
Huwezi pata mark x kwa 11mil.. usimdanganye mwenzio, labda iwe imetembelewa hapa nchini
 
Back
Top Bottom