Mungu atasaidia utatimiza haja ya moyo wako, ila nakusahuri kupata mtu wa kukusomesha kozi za afya ni ngumu maana ni gharama sana ila kama anaweza jitokeza mfadhiri wa kukulipia short course ya utengenezaji wa bidhaa za ngozi inayotolewa na DIT branch ya mwanza kwa muda wa miezi 2 ada yake ni 150000, kwa hy ukipata mfadhiri wa kuweza kukulipia ada na gharama za hostel pamoja na chakula itasaidia maana utaweza kujiajiri au kuajiriwa kwa urahisi kwenye viwanda vidogo vya kutengeneza bidhaa za ngozi na kupata kipato chako halali, Vigezo vya kujiunga ni elimu ya darasa la saba.
Kila la kheri!
Sent using
Jamii Forums mobile app