Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
subiri kitafika tu ila siku nyingine tumia makapuni yanayosafirisha mizigo itakuwa haraka zaidi, maana kwa nch zetu naona bado mifumo haijakaa vizuri pia ukitumia kwa ndege unafika haraka zaidi'
ila tumia makampuni yanayosafirisha kwa uhakika zaidi
Imefika baada ya miezi 4! Nilishajikatia tamaaKawaida unaweza hata kusahau kama uliagiza ndo kikafika ndo maana mimi nikitaka kuagiza kitu cha fasta nampigia mtu aliyeko china aninunulie anitumie moja kwa moja.
Hawa mwaka jana kuna mtu nilimwagizia nguo zikachelewa akaanza nisumbua sana ikabidi niingie kariakoo nikazisaka nikanunua, after 2 weeks ndo napigiwa sim zimefika, hata kuzifuata sikwenda maana nilikua nshavurugwa.
Duuh uvumilivuHatimaye mzigo umefika baada ya Miezi 4!
Nilishakata tamaa. maana walisema ikizidi Desemba 2 niombe refund. Nikaghairi kuomba refund, ghafla leo simu inaingia kuna mzigo wako posta!Duuh uvumilivu
Mkuu hivi kuna haja ya kuwa na sanduku la posta?Update: Siku hizi aliexpress wako vizuri, mzigo ukifika nchini wanakutumia email kwamba parcel yako sasa iko nchini. Basi unasubiri upigiwe simu na posta.
Yataje mkuu hayo makampunisubiri kitafika tu ila siku nyingine tumia makapuni yanayosafirisha mizigo itakuwa haraka zaidi, maana kwa nch zetu naona bado mifumo haijakaa vizuri pia ukitumia kwa ndege unafika haraka zaidi'
Ila tumia makampuni yanayosafirisha kwa uhakika zaidi
Huitaji sanduku la Posta. Unachohitaji tu ni namba ya simu.Ili mzigo ukifika posta unapigiwa simu, Mr Johnman kuna parcel yake hapa posta njoo na kitambulisho cha nida au unaweza kumtuma mtu lakini aje na picha yako na nida yako. (Kama kuna gharama fulani utaambiwa njoo na Tsh 2,350/=)Mkuu hivi kuna haja ya kuwa na sanduku la posta?
Shukrani sana mkuu nimekupata vyemaHuitaji sanduku la Posta. Unachohitaji tu ni namba ya simu.Ili mzigo ukifika posta unapigiwa simu, Mr Johnman kuna parcel yake hapa posta njoo na kitambulisho cha nida au unaweza kumtuma mtu lakini aje na picha yako na nida yako. (Kama kuna gharama fulani utaambiwa njoo na Tsh 2,350/=)
Shukrani sana mkuu nimekupata vyema
mkuu sasa hapo kwenye Po Box unajaza nini kama huna sanduku la posta, msaada please.Huitaji sanduku la Posta. Unachohitaji tu ni namba ya simu.Ili mzigo ukifika posta unapigiwa simu, Mr Johnman kuna parcel yake hapa posta njoo na kitambulisho cha nida au unaweza kumtuma mtu lakini aje na picha yako na nida yako. (Kama kuna gharama fulani utaambiwa njoo na Tsh 2,350/=)
m
mkuu sasa hapo kwenye Po Box unajaza nini kama huna sanduku la posta, msaada please.
Kama huna usijaze.m
mkuu sasa hapo kwenye Po Box unajaza nini kama huna sanduku la posta, msaada please.
View attachment 1798029
je hapo hizo details zingine ziko sawa...!?,Kama huna usijaze.
Unajaza Majina yako, namba ya simu na mahali utakapokuwa unapokelea mzigo wako.je hapo hizo details zingine ziko sawa...!?,
na kwa uzoefu wako mkuu mzigo mara nyingi huchukua muda gani kukufikia...!?,
samahani kwa maswali mkuu lakini.
Inaonekana una eperience ya kutosha naomba unidm namba yako ya whatapp mkuuUnajaza Majina yako, namba ya simu na mahali utakapokuwa unapokelea mzigo wako.
Niliagiza bidhaa ya Kwanza ikafika baada ya miezi 4, bidhaa ya pili ikafika baada ya siku 17, bidhaa ya tatu ikafika baada ya siku 35, bidhaa ya nne ulifika baada ya siku 20, nk nk. Kwa uzoefu wangu bidhaa za "free shipping" zinachelewa Sana. Niliagiza mizigo miwili kwa wakati mmoja ,nilioulipia nauli ulifika siku ya 35,ule wa free shipping sasa ni siku 50 haujafika.