Msaada wa Aliexpress

 
Kuna bidhaa zinasafirishwa kwa gharama. Kuna bidhaa zinasafirishwa "bure" na muuzaji lakini ikifika posta unalipia gharama za usafiri.
 
DHL wana gharama kubwa sana ya kusafirisha mizigo. Unaweza kununua simu 300,000 ukaambiwa shipping cost 200,000.
 
Iko hivyo free shipping items always zinachelewa sana. Waliosema "bure gharama" ni wahenga makini [emoji23][emoji23]
 
Ipi ina unafuu wa gharama za kusafirisha?
Kwenye attachment hapo juu unaona Aliexpress standard shipping ni Tsh 24,000
Lakini DHL ni Sh.107,000.
Unapoagiza utapewa uchaguzi😀DHL , Aliexpress standard shipping au Caniao au Singapore Post nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…