Msaada wa Aliexpress

Msaada wa Aliexpress

Unajaza Majina yako, namba ya simu na mahali utakapokuwa unapokelea mzigo wako.
Niliagiza bidhaa ya Kwanza ikafika baada ya miezi 4, bidhaa ya pili ikafika baada ya siku 17, bidhaa ya tatu ikafika baada ya siku 35, bidhaa ya nne ulifika baada ya siku 20, nk nk. Kwa uzoefu wangu bidhaa za "free shipping" zinachelewa Sana. Niliagiza mizigo miwili kwa wakati mmoja ,nilioulipia nauli ulifika siku ya 35,ule wa free shipping sasa ni siku kwenye free shipping ikoje? N
Unajaza Majina yako, namba ya simu na mahali utakapokuwa unapokelea mzigo wako.
Niliagiza bidhaa ya Kwanza ikafika baada ya miezi 4, bidhaa ya pili ikafika baada ya siku 17, bidhaa ya tatu ikafika baada ya siku 35, bidhaa ya nne ulifika baada ya siku 20, nk nk. Kwa uzoefu wangu bidhaa za "free shipping" zinachelewa Sana. Niliagiza mizigo miwili kwa wakati mmoja ,nilioulipia nauli ulifika siku ya 35,ule wa free shipping sasa ni siku 50 haujafika.
Kwenye Free shiping ikoje na hii ya kulipia ikoje kama unaweza kutoa ufafanuzi
 
Kuna bidhaa zinasafirishwa kwa gharama. Kuna bidhaa zinasafirishwa "bure" na muuzaji lakini ikifika posta unalipia gharama za usafiri.
free.jpg
 
DHL wana gharama kubwa sana ya kusafirisha mizigo. Unaweza kununua simu 300,000 ukaambiwa shipping cost 200,000.
dhl.jpg
 
Unajaza Majina yako, namba ya simu na mahali utakapokuwa unapokelea mzigo wako.
Niliagiza bidhaa ya Kwanza ikafika baada ya miezi 4, bidhaa ya pili ikafika baada ya siku 17, bidhaa ya tatu ikafika baada ya siku 35, bidhaa ya nne ulifika baada ya siku 20, nk nk. Kwa uzoefu wangu bidhaa za "free shipping" zinachelewa Sana. Niliagiza mizigo miwili kwa wakati mmoja ,nilioulipia nauli ulifika siku ya 35,ule wa free shipping sasa ni siku 50 haujafika.
Iko hivyo free shipping items always zinachelewa sana. Waliosema "bure gharama" ni wahenga makini [emoji23][emoji23]
 
Ipi ina unafuu wa gharama za kusafirisha?
Kwenye attachment hapo juu unaona Aliexpress standard shipping ni Tsh 24,000
Lakini DHL ni Sh.107,000.
Unapoagiza utapewa uchaguzi😀DHL , Aliexpress standard shipping au Caniao au Singapore Post nk nk
 
Back
Top Bottom