Msaada wa anayeweza kutambua aina ya jiwe hili

Msaada wa anayeweza kutambua aina ya jiwe hili

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
673
Reaction score
974
attachment.php

Msaada wa anayeweza kutambua aina ya jiwe hili au mwenye kifaa kinachoza kupima chemistry ya Mawe Gemstone, tafadhani naombeni msaada wenu tafadhari wana JF
 
View attachment 252275

Msaada wa anayeweza kutambua aina ya jiwe hili au mwenye kifaa kinachoza kupima chemistry ya Mawe Gemstone, tafadhani naombeni msaada wenu tafadhari wana JF..
 
madini.jpgMsaada wa anayeweza kutambua aina ya jiwe hili au mwenye kifaa kinachoza kupima chemistry ya Mawe Gemstone, tafadhani naombeni msaada wenu tafadhari wana JF..
 
View attachment 252275Msaada wa anayeweza kutambua aina ya jiwe hili au mwenye kifaa kinachoza kupima chemistry ya Mawe Gemstone, tafadhani naombeni msaada wenu tafadhari wana JF..

Hilo jiwe ni galvanized industry metal na siyo Gemstone, na biashara yake ni ya tons kama copper, felispa au Nikkel siyo kwa gram wala kilo kwa faida yako nieleze umelipata wapi ili nikwambie cha kufanya.
 
View attachment 252275Msaada wa anayeweza kutambua aina ya jiwe hili au mwenye kifaa kinachoza kupima chemistry ya Mawe Gemstone, tafadhani naombeni msaada wenu tafadhari wana JF..

.....mkuu nakushauri nenda SEAMIC wao watakufafanulia kwa kina, kama jiwe hilo ni la thamani humu jukwaani watakuzidi kete watu ingawa naamini unaeeza pata msaada kamili hapa....
 
.....mkuu nakushauri nenda SEAMIC wao watakufafanulia kwa kina, kama jiwe hilo ni la thamani humu jukwaani watakuzidi kete watu ingawa naamini unaeeza pata msaada kamili hapa....

Wewe ni mjinga sana na wala hujielewi, jiwe lolote ni madini tofauti ni huitajika wake tu na hilo pichani siyo Gemstone ni biashara ya tons. Ndoorooobo wewe acha kuingilia field za watu without know how.
 
Ni transparency Gemstone, tabia zake ni kama za tourmaline sema kuna tofauti ya rangi.
 
attachment.php

Msaada wa anayeweza kutambua aina ya jiwe hili au mwenye kifaa kinachoza kupima chemistry ya Mawe Gemstone, tafadhani naombeni msaada wenu tafadhari wana JF
Kwa macho ni quartz au topaz, mm nna kg 70 ya hayo mawe cheki sample
 
Attachments

  • 20150517_095859.jpg
    20150517_095859.jpg
    411.8 KB · Views: 465
Back
Top Bottom