Msaada wa App ya kuangalia mpira wa Ulaya kwenye simu

Msaada wa App ya kuangalia mpira wa Ulaya kwenye simu

John kirua

Senior Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
140
Reaction score
107
Naomba msaada wa kujua nawezaje kuipata app ya kuwa na angalia mpira ya Ulaya kwenye simu yangu.
 
Download hiyo app DEZOR usipoikuta playstore nenda Google search ukiopata ingia kwenye hipo alafu nenda sehemu ya kusearch andika KOOL.TO alafu ingia humu utazikita chanel zaid ya 500 za supersport zote zipo humo
Screenshot_20230408_163814_One%20UI%20Home.jpg
 
Download DStv Now nikupe email na password nina kifurushi cha Compact Plus

Ila utanichangia hata hela ya bia tatu mkuu
 
Back
Top Bottom