una web browser kwenye tv yako? kama unayo sni rahisiWakuu mambo vipi?
Naomba msaada kama kuna mtu yoyote ana tv ya hisense ambayo ni vidaa
Na anaweza kuangalia Azam Kwa kutumia website au app anipe maujanja
Me nimejaribu but I can't login kwenye Azam web and I can't download Azam app
Please msaada
account ya azam max unayo mkuu?Yes ninayo
And inanipeleka mpaka sehemu ya kuweka password and number
But ni click sign in haifanyi anythng
Tengeneza kwanza akaunti ya Azam Max kwenye simu, kisha unakwenda kuhamishia kwenye TV.Yes ninayo
And inanipeleka mpaka sehemu ya kuweka password and number
But ni click sign in haifanyi anything
fungua kwanza account ya azam max,kwa kutumia simu/ computer, then ukija hapo una log in na sio kutaka kufungua account, huwez kufungua account kwa tv, na itakua bora zaid kama iyo account uta ili LINK na namba za decorder yako ya azam.Yes ninayo
And inanipeleka mpaka sehemu ya kuweka password and number
But ni click sign in haifanyi anything
fungua kwanza account ya azam max,kwa kutumia simu/ computer, then ukija hapo una log in na sio kutaka kufungua account, huwez kufungua account kwa tv, na itakua bora zaid kama iyo account uta ili LINK na namba za decorder yako ya azam.