Msaada wa Azam web app kwenye tv

Msaada wa Azam web app kwenye tv

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wakuu mambo vipi?

Naomba msaada kama kuna mtu yoyote ana tv ya hisense ambayo ni vidaa

Na anaweza kuangalia Azam Kwa kutumia website au app anipe maujanja

Me nimejaribu but I can't login kwenye Azam web and I can't download Azam app

Please msaada
 
Attachments

  • 20240727_005705.mp4
    62.1 MB
Wakuu mambo vipi?

Naomba msaada kama kuna mtu yoyote ana tv ya hisense ambayo ni vidaa

Na anaweza kuangalia Azam Kwa kutumia website au app anipe maujanja

Me nimejaribu but I can't login kwenye Azam web and I can't download Azam app

Please msaada
una web browser kwenye tv yako? kama unayo sni rahisi
 
una web browser kwenye tv yako? kama unayo sni rahisi

Yes ninayo
And inanipeleka mpaka sehemu ya kuweka password and number

But ni click sign in haifanyi anything
 
Attachments

  • 20240727_004146.jpg
    20240727_004146.jpg
    1.2 MB · Views: 10
  • 20240727_004213.jpg
    20240727_004213.jpg
    1.8 MB · Views: 9
Yes ninayo
And inanipeleka mpaka sehemu ya kuweka password and number

But ni click sign in haifanyi anything
Tengeneza kwanza akaunti ya Azam Max kwenye simu, kisha unakwenda kuhamishia kwenye TV.

Ova
 
Yes ninayo
And inanipeleka mpaka sehemu ya kuweka password and number

But ni click sign in haifanyi anything
fungua kwanza account ya azam max,kwa kutumia simu/ computer, then ukija hapo una log in na sio kutaka kufungua account, huwez kufungua account kwa tv, na itakua bora zaid kama iyo account uta ili LINK na namba za decorder yako ya azam.
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa browser ya Vidaa OS haiwezi kufanya kazi na website ya AzamTV.
 
fungua kwanza account ya azam max,kwa kutumia simu/ computer, then ukija hapo una log in na sio kutaka kufungua account, huwez kufungua account kwa tv, na itakua bora zaid kama iyo account uta ili LINK na namba za decorder yako ya azam.

Yah Nina account ya Azam,
Incredential zake ndio hizo naingiza hapo kwenye tv
 
Back
Top Bottom