PLATO MAGELE
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 203
- 54
Mpigie huyu jamaa anatengeneza mashine bora sana Sinza, 0754559846 or 0715228514
agiza china ambazo ni automatic na ni air packing chakula kinakaa miaka miwili. bei kati ya 15000 hadi 60000usd
Wanajamvi, naomba unijuze bei za mashine za kukoboa, kupack kusaga ili kupata unga wa mahindi. Maana naona tu ..... super sembe. Hata za kukoboa mpunga na kupack mchele, mnisaidie bei zake. THANK YOU IN ADVANCE.
agiza china ambazo ni automatic na ni air packing chakula kinakaa miaka miwili. bei kati ya 15000 hadi 60000usd
Mkuu vp bei ya izi mashine complete pamoja na accessories zake.ni pm mkuu ninazo nauza zangu used ya kukoboa na kusaga toka kwa jamaa huyo wa sinza nimetumia miezi sita tuu nauza complete na motor zake 2, 30 na 40 HP,na stater za umeme complete
Naomba total cost ya izi machine za kusaga pamoja na accessories zake.ni pm mkuu ninazo nauza zangu used ya kukoboa na kusaga toka kwa jamaa huyo wa sinza nimetumia miezi sita tuu nauza complete na motor zake 2, 30 na 40 HP,na stater za umeme complete
Nashukuru sana kwa msaada Ila kamtaji kangu ni kadogo nataka no test hii business kwa kununua Mashine za hapa bongo locally made.Njoo javis internationa trade tuko ushirka house tuna import na kuexport mizigo nakufanya manunuzi toka china utapata hitaji lako fika ofisin kwetu dsm
0769061198