Msaada wa bei za machine za kukoboa, kusaga na kupack unga wa mahindi

PLATO MAGELE

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
203
Reaction score
54
Wanajamvi, naomba unijuze bei za mashine za kukoboa, kupack kusaga ili kupata unga wa mahindi. Maana naona tu ..... super sembe. Hata za kukoboa mpunga na kupack mchele, mnisaidie bei zake. THANK YOU IN ADVANCE.
 
Ebus tusaidie link ya wuzaji wa hizo machine kama unayo. Hata mimi nazihitaji. kama una historia ya hao suppliers itasaidia pia
 
Wanajamvi, naomba unijuze bei za mashine za kukoboa, kupack kusaga ili kupata unga wa mahindi. Maana naona tu ..... super sembe. Hata za kukoboa mpunga na kupack mchele, mnisaidie bei zake. THANK YOU IN ADVANCE.

ni pm mkuu ninazo nauza zangu used ya kukoboa na kusaga toka kwa jamaa huyo wa sinza nimetumia miezi sita tuu nauza complete na motor zake 2, 30 na 40 HP,na stater za umeme complete
 
Alibaba china milling machine goohle hapo utapata
 
Hajatoa ufafanuzi unataka mashine za sido(Hummer mill) au za Kisasa(Roller mill) kwa ajili ya sembe!!Kwa Tanzania utapata hummer mill na zinatofautiana kwa bei kutokana na size na unene wa bati lililotumika kuzitengeneza,ila ukitaka za nje zipo ila nyingi wametengeneza kwa bati la mm4,zitadumu kwa mwaka mmoja tu au miezi kazaa. Kama ukitaka roller mill,such google watengenezaji wapo kibao China ,India na South Africa.
 
OK..wakuu mm nauliza mashine za kukoboa huwa ni kwa nafaka zote au kuna za mchele ,mahindi nk
 
ni pm mkuu ninazo nauza zangu used ya kukoboa na kusaga toka kwa jamaa huyo wa sinza nimetumia miezi sita tuu nauza complete na motor zake 2, 30 na 40 HP,na stater za umeme complete
Mkuu vp bei ya izi mashine complete pamoja na accessories zake.
 
ni pm mkuu ninazo nauza zangu used ya kukoboa na kusaga toka kwa jamaa huyo wa sinza nimetumia miezi sita tuu nauza complete na motor zake 2, 30 na 40 HP,na stater za umeme complete
Naomba total cost ya izi machine za kusaga pamoja na accessories zake.
 
Njoo javis internationa trade tuko ushirka house tuna import na kuexport mizigo nakufanya manunuzi toka china utapata hitaji lako fika ofisin kwetu dsm
0769061198
 
Nashukuru sana kwa msaada Ila kamtaji kangu ni kadogo nataka no test hii business kwa kununua Mashine za hapa bongo locally made.
 
nauza motor aina ya induction horse power 4 mpya inafaa kwa machine ya kusagia na kukoborea
 
Back
Top Bottom