Habari wakuu! Kwa waliosherekea sikukuu ya Eid - Eid Mubarak.
Mimi ni kijana mzaliwa wa Iringa mjini! Nimehangaika na ajira jijini dar kwa miaka mingi! Nimekusanya saving zangu za TSH 30million, nimeamua kurudi mkoani kwetu iringa kujituma kama mjasiriamali.
Nawaombeni sana wakuu jamvini munisaidie kunichangia mawazo/hoja/kunitanua akili kuhusu possibilities ya biashara ya Mimi kufanya na kujiendeleza hapa mkoani Iringa.
Shurani sana.