Msaada wa Biashara kwa Iringa town

Msaada wa Biashara kwa Iringa town

Movado

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
105
Reaction score
28
Habari wakuu! Kwa waliosherekea sikukuu ya Eid - Eid Mubarak.

Mimi ni kijana mzaliwa wa Iringa mjini! Nimehangaika na ajira jijini dar kwa miaka mingi! Nimekusanya saving zangu za TSH 30million, nimeamua kurudi mkoani kwetu iringa kujituma kama mjasiriamali.

Nawaombeni sana wakuu jamvini munisaidie kunichangia mawazo/hoja/kunitanua akili kuhusu possibilities ya biashara ya Mimi kufanya na kujiendeleza hapa mkoani Iringa.

Shurani sana.
 
usome mji mkuu... utajua kilichopungua!
 
Iringa sasa hivi kuna vyuo huko ungeza hiyo hela hata kwa kukopa ujenge hostel italipa huko.soko la nyumba liko juu huku
 
mkuu nime kupm kwa ushauri aliokupa Uren hapo juu!ikikupendeza nichek mapema maana ndio nipo kwenye mchakato so any tym. biashara yaweza kua imefika mwisho.karibu
 
Jaribu hata biashara ya mbao (Mufindi) check na sao hill pata kitalu, wengi wanatoka
 
Back
Top Bottom