Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
huna namba ki vipi mkuuSina namba
Hata ukija dar utahangaika na hizo battery sababu ni simu za kizamani. Unazipata maduka ambayo mostly wanauza mitumbaWakuu nipo Dodoma huku ni fundi simu, changamoto ya Dodoma hawana vifaa vingi huwa napata changamoto baadhi ya bidhaa wateja wakihitaji kama hapa kuna battery ya sony xperia xz nilikuwa nahitaji Dodoma nzima nimekosa kwa hapa mjini.
Nilikuwa naomba mawasiliano ya duka dsm ambalo nitakuwa nafanya nalo biashara awe ananitumia kwa bus.
sawa mkuu ila kwa hapa dododma ni hovyo kabisa spare nyingi za simu na vifaa vya kutengenezea simu hakuna kabisa ukilinganisha na moshi nilikokua kuna nafuuHata ukija dar utahangaika na hizo battery sababu ni simu za kizamani. Unazipata maduka ambayo mostly wanauza mitumba