Msaada wa bidhaa Kariakoo

Msaada wa bidhaa Kariakoo

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Wakuu nipo Dodoma huku ni fundi simu, changamoto ya Dodoma hawana vifaa vingi huwa napata changamoto baadhi ya bidhaa wateja wakihitaji kama hapa kuna battery ya sony xperia xz nilikuwa nahitaji Dodoma nzima nimekosa kwa hapa mjini.

Nilikuwa naomba mawasiliano ya duka dsm ambalo nitakuwa nafanya nalo biashara awe ananitumia kwa bus.
 
hauko serious na kazi yako mkuu,biashara ya jumla unamtafuta mtu online afu mkitapeliwa mnalalamika,panda bus njoo survey mwenyewe soko la kkoo la vitu unavyotaka,tengeneza network ndouwe unatumiwa mzigo vinginevyo unatafutia watu lawama tu
 
Wakuu nipo Dodoma huku ni fundi simu, changamoto ya Dodoma hawana vifaa vingi huwa napata changamoto baadhi ya bidhaa wateja wakihitaji kama hapa kuna battery ya sony xperia xz nilikuwa nahitaji Dodoma nzima nimekosa kwa hapa mjini.

Nilikuwa naomba mawasiliano ya duka dsm ambalo nitakuwa nafanya nalo biashara awe ananitumia kwa bus.
Hata ukija dar utahangaika na hizo battery sababu ni simu za kizamani. Unazipata maduka ambayo mostly wanauza mitumba
 
Hata ukija dar utahangaika na hizo battery sababu ni simu za kizamani. Unazipata maduka ambayo mostly wanauza mitumba
sawa mkuu ila kwa hapa dododma ni hovyo kabisa spare nyingi za simu na vifaa vya kutengenezea simu hakuna kabisa ukilinganisha na moshi nilikokua kuna nafuu
 
Ningekusaidia sema aina ya bidhaa unayo tafta ni kipengele sana inahitaji mda kuvitafta ....
 
Back
Top Bottom