Msaada wa Bie ya kufanya vitu hivi vyote

Msaada wa Bie ya kufanya vitu hivi vyote

Joseph Cliff

Member
Joined
May 31, 2016
Posts
28
Reaction score
6
Habari zenu wana JF mimi nina mpango wa kutoa huduma za
M-pesa
Tigo pesa
Airtel money
Maxmalipo

je ni shiling ngapi inahitajika kupata uwakala wa M-pesa,Tigo pesa,Airtel money na Maxmalipo. pia ningependa kujua gharama za kupata leseni ya biashara
 
Back
Top Bottom