Joseph Cliff Member Joined May 31, 2016 Posts 28 Reaction score 6 Aug 6, 2016 #1 Habari zenu wana JF mimi nina mpango wa kutoa huduma za M-pesa Tigo pesa Airtel money Maxmalipo je ni shiling ngapi inahitajika kupata uwakala wa M-pesa,Tigo pesa,Airtel money na Maxmalipo. pia ningependa kujua gharama za kupata leseni ya biashara
Habari zenu wana JF mimi nina mpango wa kutoa huduma za M-pesa Tigo pesa Airtel money Maxmalipo je ni shiling ngapi inahitajika kupata uwakala wa M-pesa,Tigo pesa,Airtel money na Maxmalipo. pia ningependa kujua gharama za kupata leseni ya biashara