beginners ndio huwa wanahangaika sana na kusumbuliwa na adsense, lakini ma legend wanapiga hela ndefu sana kwa monetization, imagine site kama oceanofgames na getintopc wanatumia adsense na wana software na games ambazo ni cracks which means hio ni against na google AdSense policy kwenye copyrights, lakini jamaa ndio hivyo wanapiga pesa ndefu na wana rank ya juu sana kwenye SEs, mwisho wa siku AdSense they dont care kwa sababu na wao kupitia wewe wanaingiza pesa, ukisha kuwa na traffic ya maana hata AdSense wanakutamani.
Ukishakuwa na site yenye vitu watu wanahitaji watu watakuja tu, watu wakija unapata rank ya juu kwenye SEs, ujanja wako na ubunifu ndiko pesa ilipo.