Msaada wa changamoto hii ya kadi ya Azam TV

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu Nina king'amuzi kipya cha AZAM

Card nikiweka naona maandishi " Smart card mute"

Nawapigia Azam wako busy.

Nifanye nini?
 
Wakuu Nina king'amuzi kipya cha AZAM

Card nikiweka naona maandishi " Smart card mute"

Nawapigia Azam wako busy.

Nifanye nin
Jaribu kufuta na tissue kwenye kidude kama cha line ya simu uchomeke tena, rudia rudia pia jaribu kuzima King'amuzi kwa dakika moja na uwashe. Pia angalia usije ukawa unskosea kuweka cart katika upande sahihi.
Ikishindikana uwapigie simu muda wa kazi huwa wanapokea haraka ila usiku huwezi kuwapata. Inawezekana umezima smart card wakati unajiunga kwenye simu kupitia azam max kuna option ya kuzima ila ukiwapigia tatizo lako linaisha.
 
Nashukuru, halafu Kama king'amuzi NI kipya kuna ofa ya mwezi mmoja ? Kama ipo inapatikanaje?
 
Back
Top Bottom