Msaada wa chumba/hostel ya kupanga Lushoto

Msaada wa chumba/hostel ya kupanga Lushoto

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,509
Reaction score
3,313
Wakazi wa Lushoto nipo wilayani kwenye nipo Lushoto mjini stand kuu ya Magari hapa ndo nimeingia muda si mrefu

Shida yangu bhana natafuta hostel yoyote ya kufikia na kukaa ndani ya siku kadhaa ambayo malipo yake Kwa siku chini ya Tsh 8,000 au kama pia kutakuwa ntapata chumba cha kupanga ambacho kina godoro- na kitanda kabisa itakuwa poa zaidi ila kwa Kodi ya kuanzia Tsh 50,000 kwenda chini

Ombi langu ni ilo tu kama kuna mtu anaweza nisaidia hiyo shida yangu naomba contact zako PM au nitumie namba yako nikupigie.
 
Back
Top Bottom