nina marks zifuatazo history c,civics d, geography d, maths f, biology b, kiswahili d, english d ya mwaka 2007 na nikarudia mtihani mwaka 2008 na nikapata kiswahili d, civics f, geography c, english d na maths f.....
wewe ulikuwa unapendelea uje usomee kitu gani? au unapendelea kazi gani?au unapenda uje kuwa nani mfano nurse,mwalimu,daktari,au hakimu au nini?tuanzie hapo kwanza ndo tunaweza pata cha kukushauri usome