Msaada wa chuo cha kusoma kwa hizi marks

Msaada wa chuo cha kusoma kwa hizi marks

King klax

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
4,307
Reaction score
2,754
nina marks zifuatazo history c,civics d, geography d, maths f, biology b, kiswahili d, english d ya mwaka 2007 na nikarudia mtihani mwaka 2008 na nikapata kiswahili d, civics f, geography c, english d na maths f.....
 
wewe ulikuwa unapendelea uje usomee kitu gani? au unapendelea kazi gani?au unapenda uje kuwa nani mfano nurse,mwalimu,daktari,au hakimu au nini?tuanzie hapo kwanza ndo tunaweza pata cha kukushauri usome
 
Nenda veta kajifunze welding na ufundi wa aluminium upige pesa mjini dogo.
 
mi nilipendelea mambo ya uinjinia kama itakuwa vizuri ambacho kinafaa kwa wakati na ajira
 
ww KALIMIZZLE mambo ya welding ofisi zimekuwa nyingi na hatuna bei inayoelekeana na rafiki yangu WA NGUVU ukitaka kujua kubali kukosolewa
 
mi nilipendelea mambo ya uinjinia kama itakuwa vizuri ambacho kinafaa kwa wakati na ajira

uinjinia kwa kupata maths f?hujafanya physics wala kemia..we kasomee ualimu tu.hakuna namna.
 
jamani hii je vipi INFORMATIN TECHNOLOGY maana hata six nilipiga ila marks siyo nzuri nina GS F, HIST-Sub, GEOG-F na KISW-PRINC
 
Back
Top Bottom