Msaada wa chuo cha ualimu

Ynaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
252
Reaction score
174
Habari zenu ndugu.
Naombeni kwa anajua chuo chochote kizuri na kilichosajiliwa cha ualimu anielekeze.
Nina ndugu yangu amemaliza form 4 mwaka jana kapata 4 ya 39,ana C moja,D moja na E tatu!
Je kwa alama zake hizi za ufaulu inawezekana apate chuo?
Natanguliza shukrani zangu.
 
Mh kwa hizo score, mwambie aombe nyamahanga biharamulo box 25
 
Anaweza pata chuo mlete hapa Nyamahanga Biharamulo. Ni pm
 
Ualimu ni 34 points,mwambie akalime mihogo

Mhh unamajibu ya kukatisha tamaa jaman.Je fani nyingine kwa ngazi ya cheti na alama hizo anaweza soma course gan?
 
Ada ni million n bwen ndio, wakimkubali atasoma fresh tu

Nipe utaratibu basi wa kuapply,detail zip za muhimu na vitu vingine,na mwisho ni lini? mana nimechungulia udom naona deadline ilikua june,huku ni lin?
 
Usipoteze muda wako kuomba walimu kwa ufaulu huo Huna sifa,kwani mwaka jana ilikuwa mwisho point 34 napo wenye 34 walipata vyuo vya binafsi
 
Anaweza pata chuo mlete hapa Nyamahanga Biharamulo. Ni pm

Ndio ndio

Kimesajiliwa? kuna huduma za bweni? mana huyu anatokea singida,na ada zake zikoje?

Ada ni million n bwen ndio, wakimkubali atasoma fresh tu

Nipe utaratibu basi wa kuapply,detail zip za muhimu na vitu vingine,na mwisho ni lini? mana nimechungulia udom naona deadline ilikua june,huku ni lin?

Mkuu kwa chuo cha ualimu hizo point usijaribu,kiwe cha serikali au private,hata wakikubali private usijaribu maana hutafanya mtihani wa mwisho kwa huo ufaulu.Nadhani atafute kozi nyingine ambazo anaweza pata
 
Usipoteze muda wako kuomba walimu kwa ufaulu huo Huna sifa,kwani mwaka jana ilikuwa mwisho point 34 napo wenye 34 walipata vyuo vya binafsi

Asante mkuu kwa kumuelimisha,nimemwambia akalime mihogo nikaonekana namkatisha tamaa,tatzo watanzania tunachukia ukweli na kuhusudu uongo
 
Mkuu kwa chuo cha ualimu hizo point usijaribu,kiwe cha serikali au private,hata wakikubali private usijaribu maana hutafanya mtihani wa mwisho kwa huo ufaulu.Nadhani atafute kozi nyingine ambazo anaweza pata

Nisaidie mawazo basi,ni kozi gani anaweza fanya ata akianza na pre entry sio mbaya
 
Asante mkuu kwa kumuelimisha,nimemwambia akalime mihogo nikaonekana namkatisha tamaa,tatzo watanzania tunachukia ukweli na kuhusudu uongo

Mihogo watalima wanao,yani watu mkishapata hivo vikazi mnaona wenzune wenye uhitaji ni takataka! kwani ungeshauri arudie masomo.ili aongeze hizo C ungepungukiwa nn? Umekazana na mihogo,sijui ndio chakula unacholisha familia yako mwaka mzima.MIHOGO limisha mwanao huyu anatafuta mwanga wa elimu kwa sasa
 
Kijana akarudie mtihan tu ila umwambie awe sirias na kusoma sio uzugaji
 
Mhh unamajibu ya kukatisha tamaa jaman.Je fani nyingine kwa ngazi ya cheti na alama hizo anaweza soma course gan?

hakukatishi tamaa ameenda straight, hao wanaokwambia cjui nyamagana utaibiwa mwisho wa siku hatofanya mtihani mwisho ni dv 3, kuna kajichuo flani kanaitwa chalinze t c, pale anareset akifaulu tu anaingia ualimu hapohapo hivyo utalipa ada afanye mtihani then akifaulu hapohapo anaunga ualimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…