Msaada wa chuo cha ualimu


Bora tu arisit mwakani ndio ataenda chuo akifanikiwa pata hizo alama
 

Atarisit tuu kama mwaka huu haiwezekani,then mwakani atajiunga
 

Hivi kweli umepanic?nimeandika kifasihi,kukwambia kalime mihogo namaanisha mtafutie fani ningine na sio ualimu make utapoteza hela kwa point za 39.
 

nipm nikuunganshe polis tanzania.aanze kupiga raia we ukiwemo
 
hapo vyuo vya nacte anaenda ila kuajiriwa ni km bahat tu

Mie mnanichanganya sasa,mbona wenzio wanasema had point 34,sasa hivo vya nacte ni vipi? Mie hizi point sielew maana kipind nasoma point 34 ilikua ni.zero
 
Hivi kweli umepanic?nimeandika kifasihi,kukwambia kalime mihogo namaanisha mtafutie fani ningine na sio ualimu make utapoteza hela kwa point za 39.

Aaah umenifanya nipaniki nawe sana tuu,yan huyu mtoto ni balaa,hapo kwenyewe alirudishwa form 3 baada ya kufeli form 4,2012! mwaka jana kamaliza ndio hivo tena!" sasa yeye anataka ICT, nkamwambia huko huwezi utasumbua wazazi wako tuu bora ufanye ualimu af bdae ukipata chet uanze dip,sasa nikaona nije huku!" lol majibu yako ya kulima mihogo yakaniudhiii
 
mkuu huyo apige paper upya asipende short cut au aende jkt then jwtz

Au nimshauri aende VETA,akasome hata mambo ya hotel mgt,mana JKT pia kuna cut point wanachukua nadhani
 
Gpa ya mwisho kwa ualimu ni 1.6 hapo hawez kupata ualimu. Mtafutie kozi nyingine ila tourism anapata na ajira zake hazisumbua. Kuhusu kureseat atapoteza muda2.
 
nipm nikuunganshe polis tanzania.aanze kupiga raia we ukiwemo

Mkuu unaongea kwa kumaanisha au maskhara??? mimi nina mdogo wangu wa kike ana diploma ya records management ajira kwake ni tatizo. Alimaliza chuo cha utumishi kule "Ntwara" miaka2 iliyopita. sasa mm sipo kwenye anga za mkoloni miaka mingi kidogo nimeluzi connection na nyie wanajumuia ya ajira, nashindwa kumsaidia na nipo busy na mambo yangu!
Ebu km ulikuwa ukimaanisha, fanya mpango huyu binti awe ndata make analalamika sana.
 
Mkuu Record diploma wametangaza kazi mlimani chuo kikuu akajaribu bahati,ila sijajua deadline ni lini maana ni wife ndo aliniambia kuwa wametangaza nafasi za Secretary na Records,mkuu akajaribu bahati bila kukata tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…