Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
hapo vyuo vya nacte anaenda ila kuajiriwa ni km bahat tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakukatishi tamaa ameenda straight, hao wanaokwambia cjui nyamagana utaibiwa mwisho wa siku hatofanya mtihani mwisho ni dv 3, kuna kajichuo flani kanaitwa chalinze t c, pale anareset akifaulu tu anaingia ualimu hapohapo hivyo utalipa ada afanye mtihani then akifaulu hapohapo anaunga ualimu

Mihogo watalima wanao,yani watu mkishapata hivo vikazi mnaona wenzune wenye uhitaji ni takataka! kwani ungeshauri arudie masomo.ili aongeze hizo C ungepungukiwa nn? Umekazana na mihogo,sijui ndio chakula unacholisha familia yako mwaka mzima.MIHOGO limisha mwanao huyu anatafuta mwanga wa elimu kwa sasa
hakukatishi tamaa ameenda straight, hao wanaokwambia cjui nyamagana utaibiwa mwisho wa siku hatofanya mtihani mwisho ni dv 3, kuna kajichuo flani kanaitwa chalinze t c, pale anareset akifaulu tu anaingia ualimu hapohapo hivyo utalipa ada afanye mtihani then akifaulu hapohapo anaunga ualimu
nipm nikuunganshe polis tanzania.aanze kupiga raia we ukiwemo
Atarisit tuu kama mwaka huu haiwezekani,then mwakani atajiunga
Hivi kweli umepanic?nimeandika kifasihi,kukwambia kalime mihogo namaanisha mtafutie fani ningine na sio ualimu make utapoteza hela kwa point za 39.
nipm nikuunganshe polis tanzania.aanze kupiga raia we ukiwemo
Mkuu Record diploma wametangaza kazi mlimani chuo kikuu akajaribu bahati,ila sijajua deadline ni lini maana ni wife ndo aliniambia kuwa wametangaza nafasi za Secretary na Records,mkuu akajaribu bahati bila kukata tamaaMkuu unaongea kwa kumaanisha au maskhara??? mimi nina mdogo wangu wa kike ana diploma ya records management ajira kwake ni tatizo. Alimaliza chuo cha utumishi kule "Ntwara" miaka2 iliyopita. sasa mm sipo kwenye anga za mkoloni miaka mingi kidogo nimeluzi connection na nyie wanajumuia ya ajira, nashindwa kumsaidia na nipo busy na mambo yangu!Ebu km ulikuwa ukimaanisha, fanya mpango huyu binti awe ndata make analalamika sana.