Msaada wa chuo na course

Msaada wa chuo na course

MILES27

New Member
Joined
Jan 17, 2022
Posts
4
Reaction score
0
Nimemaliza form four na nimepata 2 katika masomo yote nimepata c kasoro math ndio nimepata f upande wa art lakini
Nilikua naomba msaada wenu kuhus course GAni nzuri ambayo naweza soma upande wa MASWALA ya bandari hata kama ni diploma ipi ni nzuri

Pia huwa Nina interest katika IT napo pia naomba mawazo yenu kulingana na matokeo nilivyotaja hapo juu
🙏
 
[emoji120]
Nasubiri mirejesho
 
Anza na kujiuliza we ungependa kufanya kazi gani? Then watu wanaofanya kazi hiyo wamesoma nini? Kisha hizo kozi walizosoma zinatolewa na vyuo gani? Kwa kuanzia tembelea www.nacte.go.tz na www.tcu.go.tz unaweza kupata taarifa za vyu na courses zinazofundishwa kupiti guide books.
 
Back
Top Bottom