Msaada wa clearing gari aina ya Toyota probox

Nyamboboy

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
362
Reaction score
454
Husika na mada hapo juu,

Mwenye uzoefu au kampuni ya kutoa magari bandarini naomba anisaidie gharama ya kutoa gari tajwa hapo juu.

Asante
 
Gharama za kutoa gari bandarini zinajulikana mara baada ya mteja kuleta B/L document ya mzigo /gari yako kwa wakala wa kutoa na kutuma mizigo(CFAgents ) then wao watakupatia invoice ya gharama zote unazopaswa wewe kulipia, kumbuka Bei rahisi kufahamika kwenye gari ni ushuru wa TRA tu kwa sababu wenyewe upo mitandaoni directly Ila hizi huduma nyingine Kama port charge, shipping line nk zinajulikana Mara baada ya B/L kufika
 
Mkuu kuna uwezekano wa ile gharama iliyopo kwenye Calculator ya TRA ikabadilika yaani ukalipa zaidi ya ile au ni lazima utalipa ile ile inayoonekana pale?
 
Gharama za kutoa gari bandarini zinajulikana mara baada ya mteja kuleta B/L document ya mzigo /gari yako kwa wakala wa kutoa na kutuma mizigo(CFAgents ) then wao watakupatia invoice ya gharama zote unazopaswa wewe kulipia, kumbuka Bei rahisi kufahamika kwenye gari ni ushuru wa TRA tu kwa sababu wenyewe upo mitandaoni directly Ila hizi huduma nyingine Kama port charge, shipping line nk zinajulikana Mara baada ya B/L kufika
Nashukuru sana kiongozi, kuna gharama za ziada zimeongezeka ndio maana nikawa nauliza. Asante kwa mchango wako.
 
Mkuu kuna uwezekano wa ile gharama iliyopo kwenye Calculator ya TRA ikabadirika yaani ukalipa zaidi ya ile au ni lazima utalipa ile ile inayoonekana pale?

Uwezekano upo mkuu,
Clearing agent inabidi abadilishe Invoice yako iendane na CIF base ya TRA kabla haja Lodge document kwenye mfumo wa TANCIS.
Lasivyo kinaweza kukuta kitu!
Kumbuka asifanye Underdeclaration (akaweka CIF ndogo sana) maana wakishitukia wanaweza kuomba SWIFT za malipo uliyolipia JAPAN.
Ila haya mambo maagent wanayajua vizuri sana.
 
Hiyo kisheria hairuhusiwi na CFagent anaefanya hivyo akigundulika atafunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi na kampuni yake plus mkurugenzi kufutwa, hivyo hakuna agents anaefanya hivyo na Kama wewe uliweza kupata bahati mshukuru Mungu Ila huo sio utaratibu wa kuclear mzigo bandarini.
 
Uwezekano upo mkuu,
Clearing agent inabidi abadilishe Invoice yako iendane na CIF base ya TRA kabla haja Lodge document kwenye mfumo wa TANCIS.
Lasivyo kinaweza kukuta kitu!
Kumbuka asifanye Underdeclaration (akaweka CIF ndogo sana) maana wakishitukia wanaweza kuomba SWIFT za malipo uliyolipia JAPAN.
Ila haya mambo maagent wanayajua vizuri sana.
Kuna muda mwingine gari inakuja invoice yake ni ndogo kuliko CIF invoice ya TRA
 
Hiyo kisheria hairuhusiwi na CFagent anaefanya hivyo akigundulika atafunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi na kampuni yake plus mkurugenz kufutwa, hivyo hakuna agents anaefanya hivyo na Kama wewe uliweza kupata bahati mshukuru Mungu Ila huo sio utaratibu wa kuclear mzigo bandarini
Unataka niambia kila unachofanya mkuu kiko kimenyooka😀

Hata askari wa usalama barabarani unamwambia akuandikie cheti unapovunja sheria!
 
Unataka niambia kila unachofanya mkuu kiko kimenyooka[emoji3]

Hata askari wa usalama barabarani unamwambia akuandikie cheti unapovunja sheria!
Inategemeana na mazingira mkuu na hiyo Hali haipo kisheria kwahyo inaweza kuwezekana na ikashindwa kuwezekana pia kwahyo haitakiw kumuaminisha kwamba Hilo linafanyika
 
Husika na mada hapo juu,

Mwenye uzoefu au kampuni ya kutoa magari bandarini naomba anisaidie gharama ya kutoa gari tajwa hapo juu.

Asante
Habari mkuu... Mm ni agent nafanya Clearing bandarin. 0764423726 Karibu bei zng ni nzur kbs
 
Back
Top Bottom