Msaada wa CV

Msaada wa CV

ndugu yaani mpaka cv we unataka copy and paste,tumia usomi wako kutengeneza ya kwako
 
CV zinatofautiana kutokana na kada uliyosomea wewe unataka CV ya kada gani ili usaidiwe
 
Anataka kwa ajili ya sample, sidhani kama kuna ubaya
 
a'aleykum.waungwana naombeni msaada kama kuna mtu yoyote ana soft copy ya mfano wa cv anitumie ili niweze kutengeneza ya kwangu.plz nipostie kwa email hii adolphmsangi@yahoo.com natanguliza shukrani kwa msaada wowote.
alaf hiyo cv utaitumia kuombea kazi? Sasa ikiwa cv(kujieleza kwa maandishi) upo hooooiii je kujieleza wakati wa usahiliitakuaje? Anyway wadau msaidien jamaa.
 
jamani ni suala la kumsaidia tu,kwani kuna akiyezaliwa anajua kitu, wote tulijifunza,basi tusiwe wachoyo tusadiane sio kupondana na kujiona tunajua sana.
 
Nashukuru kwa changamoto zenu,nilitaka ya mfano ila nitajipinda nitengeneze ya kwangu
 
kaka nenda ka google zipo nyingi tu utapata. then watu wengine bana wasiposema upuuzi wao wa jokes siku hiyo hawatalala, kama una msaada u beta kip silence.
 
Back
Top Bottom