Msaada wa daktari bingwa

Neelam35

Member
Joined
Dec 27, 2014
Posts
44
Reaction score
19
Salaam zenu wana JF, msaada wa daktari bingwa nina tatzo la tumbo kujaa gas, linakuwa km linavimba but linauma upande wa kulia chini ya mbavu. Maumivu haya yanaenda had kiunoni upande huo huo, mkononi na pia had kwenye paja.
Msaada ni daktari gani napaswa kumuona? Nitashukuru kwa msaada wenu wana jamvi
 
Umeshajaribu kwenda hospitali kumwona daktari akashindwa au umeamua tu uanze na daktari bingwa??
 
Nilishaenda aga khan nikfanya ultra sound, ct scan wakasema hamna tatizo, regency the same hamna tatizo, Ami niliend Feb nikaambiw infection tumbon nikapata dawa na sindano tatizo likaisha but now naona limerudi. @Aspirin
 
pole mkuu... hiyo ultrasound mmm ulifanyia wapi? nenda hospitali nyingine tena... may be kuna tatizo kwenye ini hasa mishipa inayoingia hapo...
na je vipi uliishawahi kupima utendaji kazi wa moyo? kama bado nayo kapime mkuu.. hapo si bure.
 
Pole sana. Hebu fuata ushauri wa huyu Great Thinker hapa chini....
pole mkuu... hiyo ultrasound mmm ulifanyia wapi? nenda hospitali nyingine tena... may be kuna tatizo kwenye ini hasa mishipa inayoingia hapo...
na je vipi uliishawahi kupima utendaji kazi wa moyo? kama bado nayo kapime mkuu.. hapo si bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…