Salaam zenu wana JF, msaada wa daktari bingwa nina tatzo la tumbo kujaa gas, linakuwa km linavimba but linauma upande wa kulia chini ya mbavu. Maumivu haya yanaenda had kiunoni upande huo huo, mkononi na pia had kwenye paja.
Msaada ni daktari gani napaswa kumuona? Nitashukuru kwa msaada wenu wana jamvi
Msaada ni daktari gani napaswa kumuona? Nitashukuru kwa msaada wenu wana jamvi