Msaada wa dawa na vipimo kwa mtoto

Msaada wa dawa na vipimo kwa mtoto

Bakalalwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
748
Reaction score
1,217
Habari ndugu kaka zangu na dada zangu wa Jf kwema habari za mida hii, poleni na majukumu ya kujenga TAIFA

Natumaini ni wazima kwa afya na mwenye changamoto MWENYEZI MUNGU ASAIDIE! ndugu zangu nimekuja na shida kidogo Nina mtoto mdogo hapa kidogo Hali yake imebadirika Toka asubuhi niliona kama hajachangamka nikajua labda katoka kulala ni kawaida yake, ila kwa Sasa naona Hali imebadirika ni kulia tu ndugu zangu sijui homa au Nini na mwaka Jana katoka kumaliza dawa za marelia baada ya kumpima na UTI ndugu zangu naomba japo msaada wenu chochote kile nikampeleke mahabara nikampima angalau nijue ni kitu Gani Mimi Sina kitu kwakweli tafadhali ndo maana nimekuja kuwaona nyie kama ndugu zangu ntashukuruni sana🙏 nikipata vipimo na dawa ntashukuru sana pia ntaleta mrejesho kwenu

Ps : mwenye kutaka japo kuniona 0788258979
 
Pole sana.

Mpeleke nwanao hospitalini haraka akaonwe na kutibiwa na daktari, huko ndiko kuna usalama zaidi siyo huku mtandaoni.

Kila la kheri.
 
Pole sana bro MUNGU MWENYEZI akusaidie sana humu ndani Kuna watu wema sana watakusaidia usijal kabisa
 
Mtoto ana umri gani? Anachemka? Kama anachemka usilale kimbia hospital. Halafu kwanini ujiamulie kwenda maabara? Kuna magonjwa sio ya kwenda maabara yanakaguliwa na daktari.
 
Mwenzenu anaomba msaada wa kifedha ninyi mnamwambia AENDE hospitali ni bure sio? Au hamjamwelewa hapo juu, mweleweni basi!

Mimi nimepigwa sana na kanji mkuu pole watakuja wenye mioyo safi mola anawafahamu
 
Back
Top Bottom