Msaada wa dawa ya gonjwa hili jamani

Msaada wa dawa ya gonjwa hili jamani

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
Habari wandugu,
hivi hang-over/mning'inio una dawa? maana hapa nina hang over ya hatari baada ya jana kunywa sana pombe. jamani mwenye kujua dawa naomba anijulishe ili nijitibu.
natanguliza shukrani
 
Kamanda! Katowe loku chap! Dawa ya moto ni moto!
mzee wa liverpool, ndo naelekea pub kushitua mbili then nirudi home niingie JF.ila JF imenisaidia sana leo, muda wote nilikuwa nasoma threads,nimejifunza mengi sana humu wakati kakichwa kanauma.
pamoja
 
Back
Top Bottom