Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia karafuu twanga kisha uweke unga wake itakutuliza ikifika asaubhi nenda hospitali ukaling'owe au kula kidonge cha Panadolau Asprin ili kutuliza maumivu.habar wana jf nimekuwa nikisumbuliwa na meno mwaka sasa ila ucku wa leo ndo limezd maumivu hadi kukosa usingiz je kuna dawa yoyote nitakayoweza tumia ili kuondoa maumivu hayo nashukurun kwa michango yenu
Dawa ya jino ni KUNG'OA
limetoboka
habar wana jf nimekuwa nikisumbuliwa na meno mwaka sasa ila ucku wa leo ndo limezd maumivu hadi kukosa usingiz je kuna dawa yoyote nitakayoweza tumia ili kuondoa maumivu hayo nashukurun kwa michango yenu
Kuna dawa nilipatiwa na mzee mmoja inatengenezwa kwa asali mbichi na magamba ya miti fulani hivi,imeniponyesha kabisa..ungekua karibu nngekupatia.
ahsanten wadau nimeshapata dawa sasa hv niko fiti kabisa
ahsanten wadau nimeshapata dawa sasa hv niko fiti kabisa
ahsanten wadau nimeshapata dawa sasa hv niko fiti kabisa