Msaada wa dawa ya jino

Msaada wa dawa ya jino

clap

Senior Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
188
Reaction score
97
habar wana jf nimekuwa nikisumbuliwa na meno mwaka sasa ila ucku wa leo ndo limezd maumivu hadi kukosa usingiz je kuna dawa yoyote nitakayoweza tumia ili kuondoa maumivu hayo nashukurun kwa michango yenu
 
Tumia karafuu twanga kisha uweke unga wake itakutuliza ikifika asaubhi nenda hospitali ukaling'owe au kula kidonge cha Panadolau Asprin ili kutuliza maumivu.
 
tobo limechimbika ni jino la juu kuhusu picha nitajitahd kuweka maana nimeng'oa meno mawili hadi sasa
 
ahsanten wadau nimeshapata dawa sasa hv niko fiti kabisa
 
Kuna dawa nilipatiwa na mzee mmoja inatengenezwa kwa asali mbichi na magamba ya miti fulani hivi,imeniponyesha kabisa..ungekua karibu nngekupatia.
habar wana jf nimekuwa nikisumbuliwa na meno mwaka sasa ila ucku wa leo ndo limezd maumivu hadi kukosa usingiz je kuna dawa yoyote nitakayoweza tumia ili kuondoa maumivu hayo nashukurun kwa michango yenu
 
Muone Dr. Kifimbo na dawa yake ambayo huwa anaitangaza inaitwa MWANZAGALA kwamba inatibu jino bila kung'oa.
 
Kuna dawa nilipatiwa na mzee mmoja inatengenezwa kwa asali mbichi na magamba ya miti fulani hivi,imeniponyesha kabisa..ungekua karibu nngekupatia.

du karibu wapi jamani? maana mimi pia nahitaji msaada, maana meno yangu yanauma sana, hata ukitokea msuguano wa kitu nabinya meno. nimeambiwa tangawizi dawa, mara kuna dawa ya mswaki za nairobi.
 
Twanga mualovera na kisha chemsha na sukutua maji kutwa mara tatu..utasahau kama ulikuwa unaumwa jino halafu leta feedback hapa..
 
dawa niliyo ipata inaitwa hydrogen peroxide mouth wash ni ya kusukutua nimetumia mara moja hadi sasa maumivu yamekata ila dr aliye nipa kaniambia haitibu ila ni kinga na ikiisha nikachukue tena au kung'oa
 
Sasa hawa madaktari wa meno wanasomea miaka sijui saba lkn mwisho wanakuambia uling'oe !!! je madaktari wa macho wangekuwa nao hivyo au wa masikio kuna mtu angekuwa anaona au anasikia? Kama isue ni kung'oa basi mafunzo hayo yatolewe veta kwani miezi mitatu tuu wangeweza kutumia hayo mapatasi na mascrue driver wanayoyang'olea meno
 
ahsanten wadau nimeshapata dawa sasa hv niko fiti kabisa

Sasa uko fiti kabisa lkn dawa iliyokusaidia unaficha!..umekuja na kilio umesikilizwa, umepona unaficha dawa illiyokuponesha. Kabila gani wewe?
 
kuna dada mmoja wa kimasai ada dawa mzuri sana anaitwa Anna anauzia dawa mitaa ya mnazi mmoja anaangalia hosptl ya mnazi1 makutano ya barabara ya bibititi na libya
 
Back
Top Bottom