Young Gwahe
Member
- Sep 3, 2017
- 53
- 163
Pole sana. Nakutumia picha sasa hivi...Habari wana JF Nilikuwa naomba msaada wa dawa gani ni nzuri kwa kuchua mgongo na misuli maana nasumbuliwa na mgongo na miguu. Nawasilisha
Mkuu inauzwa maduka ya dawa auPole sana. Nakutumia picha sasa hivi...
====================
Ukitumia hii dawa usipone, utakuwa umerogwa. This is the must have ointment. Huwa nikisafiri nasafiri nayo. Just in case nitapata maumivu ya mgongo kwa kukaa sana safarini. Its the best and of its kind. Nenda kwenye maduka ya dawa makubwa uulizie. Unaweza kupata kwa Tsh elfu 2 hadi elfu 4.
View attachment 737361
Sasa wewe unadhani niliipata kwa mganga wa kienyeji? 🙄 Rudia tena kusoma nilichoandika tafadhali...Mkuu inauzwa maduka ya dawa au
Ahsante japo una majibu kama muongoza malaika ajaeSasa wewe unadhani niliipata kwa mganga wa kienyeji? 🙄 Rudia tena kusoma nilichoandika tafadhali...
Nimeteguka ubavu kwa kuchekaAhsante japo una majibu kama muongoza malaika ajae