MSAADA WA DAWA YA KUCHUA

MSAADA WA DAWA YA KUCHUA

Young Gwahe

Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
53
Reaction score
163
Habari wana JF Nilikuwa naomba msaada wa dawa gani ni nzuri kwa kuchua mgongo na misuli maana nasumbuliwa na mgongo na miguu. Nawasilisha
 
Pole sana. Nakutumia picha sasa hivi...
====================
Ukitumia hii dawa usipone, utakuwa umerogwa. This is the must have ointment. Huwa nikisafiri nasafiri nayo. Just in case nitapata maumivu ya mgongo kwa kukaa sana safarini. Its the best and of its kind. Nenda kwenye maduka ya dawa makubwa uulizie. Unaweza kupata kwa Tsh elfu 2 hadi elfu 4.
IMG_20180407_162451.jpg
 
View attachment 737361
Mkuu inauzwa maduka ya dawa au
 
Nunua dawa inaitwa kipasi utaipata maduka ya dawa za ASILI ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom