Msaada wa dawa ya kunyunyizia maua ya miembe

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
1,871
Reaction score
1,237
Tafadhali naomba utaalamu wa wajuzi wa kilimo. Nina miembe ya kuunga ambayo inatoa maua. Mwaka jana ilitoa maua mengi lakini haikuweka maembe, maua yote yalipukutika. Mwaka huu ndiyo imetoa maua mengi sana. Wataalamu nisaidieni nifanyeje kuyanusuru maua hayo. Wenyeji wanamasema nyunyizia dawa, dawa hawaijui. Msaada please.
 
Mkuu kuna insects ambao hushambulia maua ya miembe hivyo kushindwa kutengeneza matunda kwani hufyonza ua angali changa. NI KWELI inatakiwa ufanye spraying ya sumu za wadudu hao. Nakushauri utumie NICOTINECIDE, sumu hii unaweza kujitengenezea mwenyewe, ila ili uweze basi nitakutumia nondo ya kutengeneza sumu hiyo. Nicheki kupitia 0673114461 NA pitia thread yangu ya insectices na pesticides ili kujiridhisha.
 
Mkuu kama unaweza pata mkojo wa sungura then unapulizia ni bonge la dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…