Leo ni cku ya nnePole sana!..
Unapungua taratibu hujasema unasiku ngapi hadi leo hii
Kuna kidonda hapo kwenye uvimbe
Insort uvimbe baada ya kuumia "is body inflammatory response to trauma" ni kawaida ina take time to resolve
Kama hakuna kidonda tumia hiyo hiyo gel ya kuchua itakusaidia...