Msaada wa dawa ya kuondoa huu uvimbe kwa haraka

Msaada wa dawa ya kuondoa huu uvimbe kwa haraka

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
24,643
Reaction score
44,320
Habari za leo

Mimi nmepata uvimbe kwenye shavu baada ya kujigonga kwenye mlango sasa tatizo huu uvimbe unapungua taratibu sana nlienda hospital nkaandikiwa amplicox na dawa nyingine ya kujichua lakini bado haujaisha umepungua kidogo sana

Naomba mnisaidie kujua dawa nyingine ambayo inaweza kunisaidia kuindoa huu uvimbe kwa haraka.

Asanteni.
 
Pole sana!..
Unapungua taratibu hujasema unasiku ngapi hadi leo hii
Kuna kidonda hapo kwenye uvimbe
Insort uvimbe baada ya kuumia "is body inflammatory response to trauma" ni kawaida ina take time to resolve
Kama hakuna kidonda tumia hiyo hiyo gel ya kuchua itakusaidia...
 
Leo ni cku ya nne
 
Tumia mafuta ya zet zaitun(olive oil)pakaa sehem iliyovimba ,uvimbe utapotea wote
 
Hahahaaaaa
Dhambi hazimuachi mtu salama.

Tatizo wengine mema ni asilimia chache sana, alafu mabaya yanakua asilimia nyingi kinyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom