Msaada wa dawa ya kupunguza misuli mikononi

Msaada wa dawa ya kupunguza misuli mikononi

chacha2016

Senior Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
189
Reaction score
119
Nina misuli mingi mingi mikononi hadi nakosa amani na nashndwa kuvaa shati la mikono mifupi hasa kipindi cha jua kali (mchana)

Mwenye kujua kama kuna mafuta ya kupaka au dawa za kutumia ili kuipunguza au kuondoa kabisa hii misuli mikononi tafadhali anisaidie au hata kwa ushauri tu.

[HASHTAG]#jfhakishndkanikitu[/HASHTAG]

1478159258441.jpg
 
View attachment 428645
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi. Wenzio wanaitafuta gym ili waonekane wanaume mashababi we unataka uiondoe.. wadada wanaipenda sana wakija hapa watakwambia wenyewe.
 
Naona Jamaa anajitangaza Kinamna ili apate Wateja
 
Pole sana mkuu huwa inaanzia mishipa hiyo na baadae unafuata ule mkubwa unaoitwa busha huwezi ukwepa.
 
Back
Top Bottom